VIDEO: Halima Mdee aomba radhi bungeni

Mdee anasema ’Nakiri kosa la kumtukana spika, nasema nilitenda kosa na nakiri kwamba sitorudia tena. Naamini kuna wanachi wengi niliwakwaza wakiwemo wapiga kura wangu.
Naahidi kuanzia sasa nitakuwa nikitoa michango yangu kwa kutumia lugha za staha!‘ –Halima Mdee



0 Comments:

Post a Comment