MH. Lengai Ole Sabaya |
Hakimu Gwanta Mwankuga ambaye alikuwa anasikiliza kesi hiyo, amesema upande wa Jamhuri umeshindwa kupeleka mashahidi katika kesi hiyo na kusema Mahakama haijamuachia huru mshtakiwa kwa ombi la Jamhuri kutaka kuondoa shitaka hilo Mahakamani, bali amemuachia kwa kifungu cha sheria namba 225 kipengele cha 5.
Charles Abraham ambaye ni Wakili wa Lengai Sabaya katika video hapa chini anaeleza kuhusu kesi ilivyokwenda
0 Comments:
Post a Comment