JK AFANYA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI


-Wakwanza kuapa ni Samweli sitta
-Wapili kuapa ni Mary Nagu
-Watatu kuapa ni Steve Wassira
-Wanne Kuapa ni William Lukuvi
-Watano kuapa ni Christopher Chiza

-Wasita Kuapa ni Harrison Mwakyembe
-Wasaba kuapa ni George Simbachawene
-Wanane kuapa ni Jenista Muhagama
-Watisa kuapa ni Ummy Ally Mwalimu
-Wakumi kuapa ni Steven Masele
-Wakumi na moja kuapa ni Angellah Kairuki
-Wakumi na Mbili kuapa ni Anne Kilango Malecela
-Wakumi na tatu kuapa ni Charles John Mwijage

*Sasa hivi 18:40HRS Amemaliza kuwaaapicha Mawaziri wapya Wanane na Manaibu Waziri Watano. Kinachofuata hivi sasa ni Kupiga picha ya Pamoja.


 
Mawaziri Kamili
George Simbachawene- Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu
Harrison Mwakyembe - Waziri wa Afrika Mashariki.
Wiliam Lukuvi - Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
Steven Wassira - Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika
Samwel Sitta - Waziri wa Uchukuzi
Jenista Mhagama - Waziri wa Sera na Uratibu wa Bunge

Christopher Chiza- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji

Manaibu Waziri
Steven Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
Angellah Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anna Kilango- Naibu waziri wa Elimu
Charles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

--

0 Comments:

Post a Comment