MWANZA COACH NA BASI LA JUMANNE YAGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU ZAIDI YA 20
Friday, September 05, 2014
Basi la J4 lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa
uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma.
Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma.
