Video ya Mbowe; ahutubia wajumbe wa kamati kuu jimbo la Hai

Mwenyekiti wa chadema  na mbunge wa jibo la Hai mhe. Freemani Aikael Mbowe akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu jimbo la Hai kabla ya uchaguzi uliofanyika  tarehe 12/07/2014, chama hiki kimeanza kujijenga ngazi za chini kabisa kupitia program yake ya Chadema ni msingi ambayo huanzia watu shina, kitogoji, kijiji, kata, wilaya, mkoa, kanda na taifa..

Matokeo ya uchaguzi wa jimbo la HAI ilikuwa kama ifatavyoo...
VIONGOZI WA BAWACHA JIMBO LA HAI ni

  • Mweka hazina Lilian 38
  • Mwenezi Judith 24
  • katibu ni Nakita Juma kura 38,
  • Mwenyekiti Ulyes Mro 21 ..
BARAZA LA WAZEE
  • Mwenyekiti Prof. Manasenka kura 81 kati 83
  • M/Mwenyekiti ni Mzee kimaro kura 79 kati 83
  • Katibu mzee Lema 79 kati ya 83
  • Naibu katibu Mushi 44 kati 83
  • Mtunza hazina Makere kura 50 kati ya 82..
Matokeo ya Bavicha jimbo la Hai

  • MWENYEKITI - R.A. Msangi 28 kati 60
  • KATIBU - Severine 40 kati 60
  • MRATIBU - Veshani 55 kati ya 60
  • MUWEKA HAZINA - Zaibu 32 kati ya 60
 wajumbe wa kamati Tendaji...

  • Jackson mollel 83 kati 131
  • Ibrahim kisimbo 85 kati 131
  • Laurent chanuo 108 kati 131
  • Hary Masaika 128 ndiyo 2 Hapana


MWEKA HAZINA
  • Manuo lolo 43 kati 131
  • Elizabeth 83 kati 131
KATIB
  • Simon Mnyapanda - 74 kati 131
  • Leonard Kiwelu - 53 kati 131
KATIBU MWENEZ
  • Kimaro 25 kati 131
  • Msalu 108 kati 131
MWENYEKITI
  • James J. Mushi - 104 kati 131
  • Kimangano L. Mdee - 27 kati 131 

0 Comments:

Post a Comment