Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akimjulia hali na kumsikiliza Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili akiwa
Hospitali ya Mkoa wa Iringa, ambapo mbunge huyo alimwelezea kiongozi
huyo namna alivyotekwa, kuteswa na watu aliodai kuwa ni vijana wa kikosi
cha ulinzi cha Chama Ch Mapinduzi (CCM), Green Guard.

Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe
(CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa
akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo.


0 Comments:
Post a Comment