KWA MIAKA 50 YA CCM, 15 YA KIKWETE IMEFANYA MAKUBWA CHALINZE!?

Kikwete amekuwa mbunge kwa miaka umi na tano kwenye jimbo la chalinze, chama chake kimekuwa madarakani kwa zaid ya miaka 50 leo mtoto wa mfarume anasema kero hizi atazimaliza ndani ya siku mia tatu sitini na tano (365) apa ni tumeangalia tukio mmoja yaani miudo mbinuado bado Elimu, afya...picha chini ni Kidung'hwe, Kata ya Msoga kwao Jakaya Mrisho Kikwete...hakuna barabara kuna kile ambacho kinaitwa mapitio ya mifugo. lifika wakati mgombea kuingia front kuwa injinia wa barabara ya kuchonga ili tuwahi kampeni. walituma karibu saa ya 2. Baba miaka 15 akiwa mbunge wa jimbo hili, waziri kamili wa fedha, waziri wa nishati madini na sasa rais...alishindwa kujenga barabara, mtoto anataka kupewa ubunge anasema atawaletea wananchi matrekta kila kijiji...










0 Comments:

Post a Comment