AJALI MBAYA LORI LA MAFUTA LAWAKA MOtTO WANNE WAFARIKI

Lori la mafuta limeungua na kusababisha vifo vya watu wanne, wanaume watatu na mwanamke mmoja

Tukio hilo limetokea muda mfupi uliopita eneo la mlima sekenke wilayani Iramba ambapo Lori hilo liliingia kwenye mtaro kabla ya kuungua

0 Comments:

Post a Comment