PICHA MBALIMBALI ZA MIKUTANO YA OPERESHENI M4C PAMOJA DAIMA


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akimnadi mgombea udiwa wa Kata ya Kasanga kupitia chama hicho, Festo Katoato, wakati wa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa jana.



Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleeo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akinadi mgombea udiwani wa Kata ya Santilia mkoani jimbo la Mbeya Vijijini, Elisha Mwandele wakati na mkutano wa hadhara wa Oporesheni M4C Pamoja Daima jana.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa akiagana na wanachi wa kijiji cha Santilia, jimbo la Mbeya Vijijini baada ya mkutano wa hadhara wa Oporesheni M4C Pamoja Daima jana.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa, katika mkutano wa hadhara wa Oporesheni M4C Pamoja Daima jana.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Sumgawanga, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima jana.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Vwawa wilaya ya Mbozi, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima jana.





0 Comments:

Post a Comment