NMB YAZINDUA FINANCIAL FITNESS



MENEJA wa huduma kwa wateja wa Benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa  kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB  Financial Fitness uliozinduliwa na benki hiyo kwa watoto wilayani humo.Mwanafunzi huyo anatoka shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same.

0 Comments:

Post a Comment