DJ ACHEZA MUZIKI KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO


DJ Joozey ambaye jina lake halisi ni Joseph Simo acheza mziki juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro kwa dakika 15.



Tukio hilo limewavutia wengi baada ya DJ Joozey kuweka video na picha kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa kijamii.




Kupitia katika ukurasa wake wa instagram DJ Joozey ameandika "I DID IT!! I played on Mt Kilimanjaro the highest free standing mountain in world 🏔️5,895 metres (19,341 ft) above sea level and 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base. Breaking the World Record I am the first man to ever play a 15min DJ set. GOD IS GOOD! I’m so proud to be African 🌍 for the love of my home and people. I love my country, Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿".



DJ Moozey amepanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Aftika wakati kukiwa na maadhimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa kwa hifadhi ya Kilimanjaro (KINAPA).


Maadhimisho hayo yameanza machi mosi mwaka huu yakitarajiwa kufikia kilele machi 16, mwaka huu ambapo kwa siku zote hizo kunakuwa na matukio mbalimbali ya kuelimisha na kuhamasisha juu ya umuhimu wa utunzani wa mazingira kwa uhifadhi endelevu wa mlima huo.

https://habaritanzaniagracemacha.blogspot.com/2023/02/kinapa-kukufanya-makubwa-wakiadhimisha.html


 

0 Comments:

Post a Comment