Picha matukio mbalimbali wakati Rais Samia Suluhu Hassan akifungua maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yalioanza leo tarehe 23 Novemba 2021 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Rais, Samia Suluhu Hassan, akikabidhi jumla ya Pikipiki 26 kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchinim (IGP) Simon Sirro kwa ajili ya kuongeza kasi ya kufanya doria kwa Jeshi hilo, Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Khamis Hamza Chillo
Rais Samia akihutubia wananchi wa Arusha waliojitokeza kwenye uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usala,a barabarani
Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali wa mkoa wa Arusha wakiwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakifuatilia hotuba ya Rais Samia kwenye ufunguzi wa wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyoanza leo 23 Novemba
Rais, Samia akipata maelezo kuhusu matumizi sahihi ya barabara na madaraja pamoja na kuvuka katika maeneo hayo kutoa kwa mmoja wa watoto wa shule anayewawakilisha wenzake kutoka shule mbalimbali mkoani Arusha alipotembelea moja ya banda la maonesho kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani wa pili kulia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro.
0 Comments:
Post a Comment