MSIGWA ATOA MSIMAMO MKALI JUU YA TAARIFA YA KUTEKELEZA MTOTO

BAADA ya kusambazwa kwa picha na taarifa inayodai mbunge wa Iringa Mjini,Mch Peter Msigwa ametelekeza mtoto mwenyewe amejitokeza na kusema haya👇🏻

Kuna propaganda za makusudi kujaribu kunichafua kuwa nimetelekeza mtoto Dar.  Kama huyo mama amabaye jina lake limehifadhiwa namataka  ajitokeze pamoja na mtoto nilyemtelekeza. Kwa sasa nipo Dodoma bungeni; anaweza kunipata kupitia spika wa bunge au katibu wa bunge au kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. namba yangu ya simu ni 0788558888. Kama ikithibitika kuna mtoto nimemtelekeza nitajiuzu ubunge. Peter Msigwa the MP for iringa

0 Comments:

Post a Comment