JUA GRUPU LAKO LA DAMU NA VYAKULA USIVYOTAKIWA KUTUMIA

Habari,
Je unafahamu ni kwanini watu wamekuwa wakiugua ugua ovyo?
Mara nyingi watu wameugua na hata kupata matatizo kutokana na kutokujua magroup yao ya damu na wanatakiwa wale nini.
  Lifahamu group lako la damu na Tabia zake.
    GROUP O
1.Wanapenda kazi sana
2.wanapenda kususa sana
3.Hawapendi kusimamiwa
4.Sio watu wa kubebwa bebwa.
5.wana hasira mnoo.
6.Wana msimamo,ni wasuluhishi pia.
7.wanapenda kudominate,wajeuri hata kama hana kitu.
8.Ni watu wa watu.

      VYAKULA.
1.Wana acidi nyingi kuliko magroup mengine ya damu kwahiyo hatakiwi kula vyakula vyenye acidi.
2.Hawatakiwi kula ngano.
3.wanahitaji protein kwa wingi.
4.Mahindi,Ugali pia sio vyakula vyao.
5.Maharage pia ni mazuri kwao.
6.Wanahitaji kula Nyama kwa wingi.
7.Matunda yafuatayo ni mazuri  kwao  Papayi,ndizi, maembe,nanasi.

     MAGONJWA WANAYO YAPATA KAMA WASIPOKULA VYAKULA VINAVYOENDANA NA WAO

1.Vidonda vya tumbo kama wakila vyakula vyenye acidi
2.Magonjwa ya kuambukizwa i.e mafua.
3.kansa
4.Choo cha shida kwa sababu ya ngano.
5.Kisukari
6.Pressure
7.Mgongo na Magoti.
8.Wanaongoza kwa kupata marelia kwa sababu damu yao ni nyepesi sana.

    GROUP A
1.Ni wasiri sana,wanaweka kinyongo.
2.Hawapendi kuongea,wana aibu.
3.Wanajitahidi kufuata sheria sana.
4.Ni wapole.
5.Ni wabinafsi sana.
6.Ni wavivu.
7.Wako sensitive mnoo.

     VYAKULA
1.Wanahitaji mboga mboga kwa sana.
2.Wana upungufu wa acidi kwa hiyo ni vema wapate Limao, ndimu,Ukwaju.

     MAGONJWA YANAYOWEZA KUWAPATA WASIPOKULA VYAKULA VINAYOENDANA NA WAO.

1.Wanapata upungufu wa acidi tumboni
2.Kansa
3.Wanapata makamasi sana asubuhi,hawaishiwi mafua.
4.Pressure.

     GROUP B
1.Ni waongeaji mnoo....Mara nyingi ukitaka kuwatambua wengi ni ma Mc,wanamuziki.
2.Wanapenda Uongozi pia.
3.Wanapenda kuonekana.
4.Ukimchokoza anakushughulikia.
5.Wako balanced, wanaelewana na groups zote za damu.
   
      VYAKULA.
1.Karanga na korosho sio vizuri kwao.
2.Nyanya na kuku pia sio nzuri kwao pia.

    GROUP AB
1.Hawaeleweki eleweki,sio rahisi kumuelewa tabia yake.
2.Wanayo Strong Immune system.
3.Ni wachache duniani.
4.Hawajali (they don't care)

       VYAKULA

Group AB Mara nyingi anashauriwa kula vyakula anavyokula group A.
   Na magonjwa yanayowapata muda mwingi ni yale wanayoyapata A.

    Lakini tambua kuwa vyakula tunavyokula Mara nyingi vimejazwa sumu za aina  mbalimbali kutokana na mbolea zinazowekwa,utayarishaji wake pamoja na uzalidhaji

0 Comments:

Post a Comment