IGP DCI NA AG KUTINGA MAHAKAMANI LEO SAKATA LA MWANAFUNZI NONDO



 MWANASHERIA mkuu wa serikali,(AG) Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai,(DCI) na Mkuu wa Jeshi la polisi nchini,(IGP) wametakiwa kufika mahakamani leo  kueleza ni kwanini hawataki kutoa dhamana au kumfikisha mahakamani Abdul Nondo. 

Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ilitoa wito huo jana kufuatia maombi ya rufaa namba 48/2018 yaliyowasilishwa na mawakili wa mwanafunzi huyo.




0 Comments:

Post a Comment