Mkurugenzi TBC apata ajali wawili wafariki





Gari ya mkurugenzi wa Televisheni ya Taifa,( TBC ) Ayubu Rioba imepata ajali wakati akielekea mkoani Kigoma ambapo watu wawili ambao majina yao hayakufahamika mara moja wanadaiwa kufariki.

 Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP Martin Othieno amethibitisha kutokea Kwa ajali hiyo ambayo Fiona anadaiwa kupata majera madogo.



Tutaendelea kuwapa taarifa kadiri tutakavyozipata

0 Comments:

Post a Comment