Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ametambulisha rasmi Perfume yake iliyopewa jina CR7 Eau de Toilette, ikiwa ni perfume ya tatu kwenye ollection yake, Ronaldo ana Cristiano Ronaldo Legacy na Cristiano Ronaldo Legacy Private Edition.
Manukato haya ya CR7 Yatauzwa kwa bei ya reja reja kwa kiasi cha Pound £19 [TZ Sh 56219] na kwenye box inakuja na Aftershaves, Shower hii ikiwa na tofauti kiasi cha karibu nusu nzima ya mauzo ya manukato ya Diamond Platnumz ambapo Diamond Platnumz anauza perfume yake kwa T sh 105000 huku CR7 pefume ikiuzwa Tsh 56219 .Gels Na Deodorants.
Hivi karibuni Ronaldo alikuwa kwenye vichwa vya habari baada ya kupata mapacha Eva na Mateo June mwaka huu.





0 Comments:
Post a Comment