HABARI: MCT Watoa Tamko tukio la Kupigwa risasi Tundu Lissu

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji Kajubi Mkajanga leo September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda amani na wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo hicho.

0 Comments:

Post a Comment