Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana June 26 2017 alipata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. zikufikie taarifa kuwa Lowassa tayari amewasili Kituoni Hapo. millardayo.com Content.
KAMISHNA KUJI AZINDUA MRADI WA KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME KATIKA
HIFADHI YA TAIFA MIKUMI
-
Na. Philipo Hassan - Mikumi
Mwisho mwa wiki ikiyopita, Kamishna wa Uhifadhi TANAPA CPA Musa Nassoro
Kuji alizindua rasmi mradi wa kusafirisha na kusambaz...
2 hours ago
0 Comments:
Post a Comment