Askari afariki kishujaa Uturuki

Askari mmoja afariki kishujaa  Uturuki

Shambulizi kwa kutumia kombora lililorushwa kutokea Hakurk Kaskazini mwa Iraq limesababisha kifo cha askari huyo ambae alikuwa akitekelezwa wajibu wake katika eneo hilo.

Kombora hilo kutokea kitongoji cha Semdinlli mkoani Hakkari lilijibiwa na jeshi la Uturuki kwa sialaha nzito nzito.

Uongozi katika kitongoji hicho ulifahamisha kuwa jeshi la Uturuki katika umbali wa mita 2867 na kitongoji cha Semdinli  kuliskika pia milio ya silaha karibu na mpaka wa Iran.

0 Comments:

Post a Comment