UPDATES ARUSHA: Meya , Katibu TAMONGACO Kuripoti polisi leo , HABARI TANZANIA GRACE MACHA Tutakuletea updates zote kutoka Central Polisi Arusha


Siku chache zilizopita Meya wa jiji la Arusha ,Wamiliki wa shule binafsi (Katibu TAMONGSCO) ,Viongozi wa dini na waandishi wa Habari 10 walikamatwa na jeshi la polisi wakiwa katika shughuli ya rambirambi shuleni Lucky Vincent.
Ambapo waandishi na baadhi ya wamiliki wa shule binafsi waliachiwa na Meya pamoja na Katibu mkuu TAMONGSCO Bw. Leornad Mao waliendelea kushikiliwa hadi juzi tarehe 19 may ambapo waliachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti leo jumatatu ya 22/May/2017 ili kukabidhiwa fedha kiasi cha Millioni 19 ambayo ikikuwa ya kuwapelekea wafiwa wa ajali ya Lucky Vincent au kufikishwa mahakamani?

0 Comments:

Post a Comment