UPDATES: Alichosema Nick wa Pili baada ya Rais JPM Kuzungumza leo


“Watanzania wanao pewa dhamana, wasipo amuwa kuwa waadilifu, umaskini uta andika historia tukufu kwa wa Tz, alafu kuha uhusiano gani kati ya uwekezaji na ufisadi…. maana kila kasha, wizi mkubwa utamkuta mwekezaji na wakala wake wa kitanzania (wasomi, viongozi, wafanya biashara)…
“Yani ni kama ule uchumi wa kikoloni manufaa nikwa makampuni ya nje na kitabaka cha watanzania wachache…… nimpongeze mkuu wa nchi kwa kuamuwa kupambana na ufisadi huu…
“Ila vita ya kuvunja mfumo wa kiuchumi wa kifisadi ni hatari.. kina lumumba, nkruma, sankara, huko chile, nikaragwa, Venezuela, haiti, iran…. viongozi hawakupona….. ni vita kuu… Mungu akusimamie” – Nikki wa Pili.

0 Comments:

Post a Comment