RASMI: Usichokijua kuhusu Rais JPM kutengua uteuzi wa Waziri Pro.Sospeter Muhongo

Mh. Sospeter Muhongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Mh. Sospeter Muhongo. 
Taarifa hii ilitolewa na Katibu mkuu kiongozi BaloI John Kijazi na kwamba nafasi hiyo itajazwa baadaye.


0 Comments:

Post a Comment