NUKUU ; Ni Kauli ya Waziri Nchemba mauaji ya Kibiti

"Hatutawaacha wanaoua na wala hatutawaacha wanaoshirikiana na wanaoua, hakuna chama cha siasa ambacho kina thamani sawa na uhai wa binadamu, mtu kuwa chama anachotaka hajafanya kosa hata kustahili kuuawa, kwa maana hiyo mimi kila nikitafakari naona kuna kamchezo kanakochezwa”-Waziri Mwigulu

VIDEO KUTOKA TZA


0 Comments:

Post a Comment