Timu ya simba ilikuwa timu imara hadi dakika za mwiaho ligi kuu ambapo mitazamo ya wadau mbalimbali wa soka ilikuwa clabu ya simba kuwa bingwa 2017.
Mambo yalibadilika tu Mara baada ya mizozo ya hapa na pale ndani ya kile kinachoitwa management ya timu hiyo , hii imekuwa kawaida kwa timu hii kila mwaka kukumbwa na migogoro ya kiuongozi hali inayoathiri maendeleo ya timu.
Ubingwa umeenda kwa wanajangwani Dar es Salaam Young Africans watoto wa jangwani wao wanajiita wana kimataifa.
Haji Manara Aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba ametoa mapendekezo juu ya kuzawadiwa mfugaji bora wa mwaka kwamba tuzo hizo wasizigawanye waangalie mchezaji assist nyingi pamoja na idadi ya Magoli
“Kaka Rais tuzo hii huwa haigawanywi,angalia mwenye assist nyingi,dak na mechi walizocheza,idadi ya magoli yao kuna penati ngapi,nidhamu yao uwanjani,wenye ndiki yao ndio wafanyavyo hvyo kaka Rais, huo ni ushauri tu,ukiona vp niachie mwenyewe kaka Rais“ameandika Haji Manara.
0 Comments:
Post a Comment