HABARI: Rais JPM amteua mkurugenzi mpya TIC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amemteua mkurugenzi mpya wa Taasisi ya uwekezaji
Tanzania TIC.



Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwambe alikuwa mkuu wa wilaya ya Manyoni mkoani Singida, kuanzia May 2016 hadi June 2016.

0 Comments:

Post a Comment