![]() |
|
Mikakati inayotumiwa na Balozi wa
Heshima wa Utalii wa Tanzania Bw.
Ahmed Issa kutangaza utalii ni pamoja na matumizi ya magari yenye picha za vivutio vya utalii wa Tanzania katika majiji mbalimbali katika California - Marekani kama inavyoonekana katika picha |
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Bw. Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati wanayoitumia kutangaza vivutio vya utalii wa Tanzania kwa wamarekani jana Beverly, Los Angeles. |

0 Comments:
Post a Comment