IMAMU WA MSIKITI AMWAGIWA TINDIKALI ARUSHA




IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir, (33) amejeruhiwa vibaya usoni na kwenye bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa tindikali.



Amelazwa kwenye wodi ya majeruhi hospitali ya Mkoa ya Mount Meru anakopatiwa matibabu, Imamu huyo alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi kwenye majira ya kati ya saa 3:30 na saa 4:00 usiku maeneo karibu na msikiti huo anauongoza maeneo ya Tindiga Unga Ltd.

0 Comments:

Post a Comment