DK SLAA, MSIGWA WAITEKA RUVUMA


 
Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa akiwasha moto Songea mkoani Ruvuma.


 
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbrod Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja.




0 Comments:

Post a Comment