Mkurugenzi wa Arusha Mambo Rosemary Ndesokia akiongea na waandishi wa habari juu ya mafunzo wanayotoa kwa wafanyabiashara wa kati na wadogo juu ya namna ya kutafuta masoko, kufanya mauzo na kutoa huduma kwa wateja
sehemu ya Washiriki wa mafunzo yaliyoandaliwa na Arusha Mambo kwenye hoteli ya kitalii ya Arusha Palace jijini Arusha

0 Comments:

Post a Comment