WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akifungua mkutano wa 38 wa mwaka wa Taasisi za Benki za Maendeleo ya Afrika (AADFI) kwenye hoteli ya Arusha palace jijini Arusha. Jopo la wataalamu kutoka Taasisi hizo wamekutana kujadili ni kwa jinsi gani wanaweza kusaidia maendeleo katika nchi za Afrika. Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo.
SERIKALI YAFAFANUA HATUA ZA KUDHIBITI MIKOPO YENYE RIBA KUBWA
-
Na. Chedaiwe Msuya na Jordan Mbwambo WF, Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amesema
Serikali inaendelea kuchukua hatua mba...
38 minutes ago
0 Comments:
Post a Comment