Sunday, May 29, 2022

NYATI MWEUPE AONEKANA NGORONGORO

 

Nyati mweupe  ameonekana   akiwa katika Kundi la Nyati weusi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro kwenye  Bonde la Kreta maeneo ya kilima cha mjerumani karibu na Mto Munge Mei 29,  2022.





No comments:

Post a Comment