Habari Tanzania 🇹🇿
▼
Tuesday, January 6, 2026

SHINIKIZO LA DAMU NA MAGONJWA YA MOYO YATISHIA AFYA YA WANANCHI KANDA YA KASKAZINI

›
Shinikizo la damu na magonjwa ya moyo yameendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya wananchi, baada ya kubainika kuwa kati ya wananchi takribani...
Saturday, December 20, 2025

KAMISHNA BADRU AENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO NA JAMII INAYOISHI NDANI YA HIFADHI YA NGORONGORO

›
  Mwandishi wetu Endulen Ngorongoro. Tarehe  20 Desemba, 2025 Uhusiano kati ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na jamii inayoishi nd...
Thursday, December 18, 2025

WAZIRI TAMISEMI AKOSHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO JIJINI ARUSHA

›
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, ameonesha kuridhishwa na kasi, ubora na usimamizi wa utekelezaji wa miradi...

MAWAKALA WA FORODHA NAMANGA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA TANCIS

›
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imetoa mafunzo kwa Mawakala wa Forodha waliopo Mpaka wa Namanga, wilayani Longid...
Thursday, December 11, 2025

MBUNGE WA PERAMIHO, JENISTA JOAKIM MHAGAMA, AFARIKI DUNIA

›
  11 Desemba, 2025, Dodoma Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenist...

ADHABU YA KUCHEPUKA KATIKA KABILA LA WAHADZABE

›
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Jamii ya kabila la Wahadzabe inayopatikana pembezoni mwa Ziwa Eyasi Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha ni miongoz...

LHRC WAIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI KWA KUZIMA MTANDAO

›
  Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi namba 56 ya mwaka 2025 katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, likilalam...
Wednesday, December 3, 2025

SHIRIKA LA WILD SURVIVORS WAJA NA TEKNOLOJIA YA KISASA YA UTATUZI WA MIGOGORO KATI YA TEMBO NA JAMII

›
   Happy Lazaro,Arusha  Shirika linajishughulisha na uhifadhi wa Tembo la WILD SURVIVORS  waja na teknolojia ya kisasa ya utatuzi wa migogor...
Monday, December 1, 2025

WANANCHI WA ORMEKEKE NGORONGORO WAANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI

›
  Wananchi wa Kitongoji ya Ormekeke Kijiji cha Nasipaoriong tarafa ya Ngorongoro wameanza kunufaika na mradi wa maji baada ya Serikali kupit...

Prof. Kabudi: “Tawasifu ya Balozi Njoolay Ni Hazina Itakayodumu kwa Vizazi Vijayo”

›
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, asema tawasifu ya Balozi Daniel Ole Njoolay ni hazina ya kipekee ...
Sunday, November 30, 2025

Balozi Daniel Ole Njoolay: “Safari Yangu ni Muujiza wa Elimu, Uongozi na Utumishi kwa Taifa”

›
  Katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake Tawasifu ya Balozi Daniel Ole Njoolay , iliyohudhuria na viongozi mbalimbali wakiwemo Mgeni Rasm...

UZINDUZI WA KITABU CHA TAWASIFU YA BALOZI DANIEL OLE NJOOLAY WAWAGUSA WENGI ARUSHA

›
  Arusha, Tanzania — Uzinduzi wa kitabu Tawasifu ya Balozi Daniel Ole Njoolay umefanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi wa Seri...
Friday, November 28, 2025

DKT. KIJAJI ASISITIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UHIFADHI

›
Waziri wa Maliasili na utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameelekeza taasisi za uhifadhi kuimarisha matumizi ya teknolojia za kisasa katika uhif...

Donkeys Face Risk of Extinction as Illegal Trade Intensifies, ASPA Warns

›
  Arusha — Donkeys in Tanzania are facing a serious threat of extinction due to illegal cross-border trade that involves secretly transport...
›
Home
View web version

About Me

My photo
Grace Macha
Karibu msomaji wangu Utapata habari za siasa Uchumi, matukio na kijamii zilizohaririwa kwa kuzingatia maadili ya habari
View my complete profile
Powered by Blogger.