Thursday, March 17, 2022

MATUKIO KATIKA PICHA YANAYOENDELEA KUMBUKUMBU YA HAYATI JPM CHATO

MATUKIO katika picha Kutoka Chato mkoani Geita kwenye Uwanja wa Magufuli ambapo kunafanyika Ibada ya Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 17, 2022.












 

No comments:

Post a Comment