DIANA Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 84 wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kusomewa maelezo ya awali.
Wanakabiliwa na mashtaka matatu ya usafirishaji haramu wa binadamu, kusanyiko lisilo na kibali na kuzuia maofisa wa Serikali kutimiza wajibu wao.
Wamesomewa maelezo hayo ya awali leo, Machi 17, 2022mbele ya ya Hakimu mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Monica Ndyekubora.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo saa 6:00 mchana
No comments:
Post a Comment