MATUKIO katika picha Kutoka Chato mkoani Geita kwenye Uwanja wa Magufuli ambapo kunafanyika Ibada ya Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 17, 2022.

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO UTABORESHA HADHI YA DODOMA NA KUFUNGUA
FURSA ZA AJIRA_MNEC DODOMA.
-
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) kutoka Mkoa wa Dodoma, Donald
Mejetii, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Msalat...
40 minutes ago
0 Comments:
Post a Comment