WATU saba wamefariki dunia kutokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam.
Kamanda wa Polisi wa kanda maalumu Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema miongoni mwa marehemu hao 6 vifo vyao vimesababishwa na kuangukiwa na ukuta.
Ameyatata baadhi ya maeneo yenye hadhari kubwa na mvua kuwa ni pamoja na Jangwani na Kinyerezi.
Hata hivyo amewasihi wananchi kuchukua tahadhali hasa kipindi hiki wakati mvua zikiendelea kunyesha ili kuhiepusha na madhara ikiwemo vifo.
Majina ya marehemu tunaendelea kufuatilia tutawajulisha pindi yakithibitid
Chanzo radio one
0 Comments:
Post a Comment