FAMILIA YA LOWASSA YATOA NENO MSICHANA ALIYEDAI KUTELEKEZWA

BAADA ya mwanamke mmoja kujitokeza na kudai kuwa yeye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa na amefanya juhudi za kuifikia familia hiyo  bila mafanikio  msemaji  wa familia amesema YAFUATAYO👇

Salaam. Nimesikia mwanamama mmioja akiongea kuwa yeye ni ndugu yetu kule Dar es Salaam. Kwa taarifa tu sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha. Namwambia  Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.

Fred  Lowassa- Monduli

0 Comments:

Post a Comment