Meya Arusha akemea uonevu, aitaka Kanisa kukemea watawala bila woga...


Meya wa jiji la Arusha akitoa salamu za serikali katika uzinduzi wa Usharika mpya wa Njiro kanisa la KKKT Dayosisi ya kaskazini kati akiongoza na Naibu Meya Viola Lazaro,Mh Zakaria Mollel diwani wa Olerieni,mh Kinabo Melance diwani wa kata ya Themi.
Ibada hiyo iliyoongozwa na mhashamu baba Askofu Dr Solomon Masangwa .

Meya katika salamu zake aliiambia kanisa kuwa Jiji la Arusha na kanisa la KKKT Arusha watashirikiana kuhudumia jamii ya Arusha na kuwa atatoa ushirikiano wa dhati kwa kanisa hilo.
Ameitaka kanisa la KKKT lazima iwe na msimamo thabiti na kauli thabiti dhidi ya uovu ,
uonevu ,ukandamizaji,ubaguzi wa aina zote na kutukemea sisi watawala bila woga kama alivyofanya muasisisi wa kanisa hil 

0 Comments:

Post a Comment