Taarifa iliyotufikia hivi punde ajali hiyo imetokea maeneo ya Getasamo Katesh wilayani Hanang' Mkoani Manyara
Kwa mujibu Wa Kamanda Wa Polisi Mkoa wa Manyara
SACP Deusdedit Nsimeki
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu usiku wa October 14, mwaka huu.Amesema kuwa watu saba wamefariki kwenye ajali hiyo huku wengine saba wakijeruhiwa.
Tunakuletea taarifa zaidi hivi punde..
0 Comments:
Post a Comment