Kwenye headlines Leo ilikuwa taarifa ya Amani Golugwa Mwenyekiti Wa CHADEMA Arusha kuitikia wito wa Taasisi ya Kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU .
Tulikutaarifu Kuwa Golugwa aitwa TAKUKURU huku sababu zikiwa hazijawekwa bayana . sasa Mara baada ya Kuhojiwa kwa saa kadhaa mwenye amefunguka.Tazama hii video hapa chini.
0 Comments:
Post a Comment