![]() |
| Lowassa , Kinana, na James Mbatia wakifurahia jambo... |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa Mkewe na Katibu Mkuu CCM Abdurahman Kinana kwenye kuuaga Mwili wa Billionea Mrema. |
![]() |
| Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro. |
Picha juu na chini mjumbe wa kamati kuu CHADEMA Lowassa akifurahia jambo na Kiongozi mwenza wa UKAWA na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI James Mbatia pamoja na Abdurahman Kinana Katibu Mkuu CCM..
VIDEO HII HAPA CHINI UNAWEZA KUPLAY





No comments:
Post a Comment