PICHA 20: LOWASSA NA KINANA WATETA, JK USO KWA USO NA LOWASSA
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe Wa Kamati kuu CHADEMA Mh. EDWARD LOWASSA akiWasili katika Hoteli ya Mgurudoto kWA ajili ya Kuuaga MWili WA Billionea Mrema
Waziri mkuu mstaafu EDWARD LOWASSA akiteta jambo na Katibu mkuu CCM Abdurahman Kinana.
Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Mh. Mrisho Gambo (Katikati) akisubiri msafara Wa rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho KikWete muda mfupi kabla ya rais huyo mstaafu Wa aamu ya nne kuWasili kWa ajili ya kuuaga MWili Wa Billionea Mrema.

No comments:
Post a Comment