Wednesday, August 9, 2017

PICHA 7: Kutoka kwenye msiba wa Billionea Mrema, Lowassa Na Kinana walivyokutana..,Lema na mkewe...LIVE kutoka Hoteli ya Ngurudoto Arusha..


Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa na Aliyekua mgombea Urais 2015 kupitia CHADEMA akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana.





Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwa na mkewe nao waliambatana kuuaga mwili wa Billionea Mrema.

No comments:

Post a Comment