Sunday, June 18, 2017

UCHUMI WA TANZANIA UMEPANDA 2017


Ni taarifa ya Ethiopia ambayo imeeleza kutajwa nchi ambazo uchumi wake umepanda haraka mwaka 2017 list hii inaongozwa na Ethiopia inakamata nafasi ya kwanza ambapo uchumi wake umekua kwa 8.3% huku Tanzania ikitajwa miongoni mwa nchi 10 ikikamata nafasi ya 5 uchumi wake ukikua kwa 7.2% huku uchumi wa Djibouti ukikua kwa 7% licha ya kukabiliwa na ukame mkubwa.

No comments:

Post a Comment