Kampuni kubwa ya bidhaa za baharini Japan inafikiria kuuza samaki hao nje ya nchi hiyo miaka ijayo. Picha ya NHK World |
Uvuaji kupita kiasi wa samaki tena wenye mapezi ya buluu umekuwa tishio kwa kupungua kwa samaki hao kote duniani.
Miaka 15 iliyopita watafiti katika chuo kikuu kimoja cha Japani wamefanikiwa kufuga samaki hao kutoka hatua ya kuangua mayai hadi wanapokuwa wakubwa, hii ikiwa ni mara ya kwanza duniani.
Katika kipindi hiki utapokea maoni kutoka kwa watafiti walioongoza timu hiyo katika kipindi cha miaka 32 ambacho wamefanya utafiti, pamoja na maelezo juu ya teknolojia ambayo kwa sasa inatekelezwa ili kuongeza kikamilifu idadi ya samaki.
No comments:
Post a Comment