Ni taarifa ya Ethiopia ambayo imeeleza kutajwa nchi ambazo uchumi wake umepanda haraka mwaka 2017 list hii inaongozwa na Ethiopia inakamata nafasi ya kwanza ambapo uchumi wake umekua kwa 8.3% huku Tanzania ikitajwa miongoni mwa nchi 10 ikikamata nafasi ya 5 uchumi wake ukikua kwa 7.2% huku uchumi wa Djibouti ukikua kwa 7% licha ya kukabiliwa na ukame mkubwa.
Dkt. Kijaji azindua Bodi mpya ya Ngorongoro, awaapisha Kamishna wa Uhifadhi
-
Dkt. Kijaji azindua Bodi mpya ya Ngorongoro, awaapisha Kamishna wa
UhifadhiAagiza ongezeko la vitanda vya malazi na ubunifu zaidi kwenye sekta
ya utal...
1 hour ago

0 Comments:
Post a Comment