Bw. Bekir BozdaÄŸ |
Waziri wa sheria wa Uturuki Bekir BozdaÄŸ kufanya ziara nchini Marekani
Waziri wa sheria wa Uturuki Bekir BozdaÄŸ kufanya ziara mjini Washington nchini Marekani ifikapo Mei 8.
Katika ziara take waziri wa sheria wa Uturuki anatarajiwa kutoa nyaraka ambazo pia zinathibitisha kuwa kiongozi wa lundi la wahaini wa FETÖ alihusika na jaribio la mapinduzi ya Julai 15 mwaka 2016.
Nyaraka hizo ni kwa niaba ya kukazia nyaraka ambazo tayari Uturuki ulituma Marekani ili Gülen afikishwa mbele ya vyombo vya sheria kufuatia tuhuna zinazomkabili.
Nyaraka hizo ni ushahidi tosha kwa Marekani kuwa Gülen alihusika na jaribio hilo la mapinduzi.
Marekani na Uturuki ni nchi ambazo zilisaini Mkataba wa ushirikiano kuhusu wahalifu wanaotafutwa na vyombo vya sheria.
0 Comments:
Post a Comment