FRANCIS NANAI |
"Waandishi wa habari ni watanzania tunaipenda Tanzania. Hatuna nia mbaya na nchi yetu. Tunaomba tuaminiwe.
Matangazo ndiyo yana finance vyombo vya habari. Vyombo vingi vya habari vinategemea matangazo ya serikali kwa karibia asilimia 60. Tunaomba mtuelewe sisi tunajenga nyumba moja...hakuna haja ya kugombania fito..
Serikali ilainishe msimamo wa kusaidia vyombo na matangazo kwa sababu, Wamiliki wa vyombo vya habari: tunaajiri watu wengi-mia mbilo mia tatu na tunalipa kodi kama biashara nyingine. Tunasupport serikali na sera zake kama sera ya viwanda.
Sisi tunasikika kila siku, tofauti na wabunge bungeni.
Sisi kazi yetu ni ya kila siku. Tunaijulisha serikali kile kinachoendelea. Tutafutiwe support na serikali siyo kudidimizwa.
Katika siku hii pawe na utendaji wa haki. Tunaomba frre and fair play ground. Upendeleo unaleta incompetence.
Tuna changamoto kupata habari kutoka baadhi ya wasemaji wa serikali. Tuepuke hali itakayoleta ugomvi badala ya urafiki. Kuhusu regulations tukae na kutathmini maeneo yenye ukakasi tuyasawazishe."
No comments:
Post a Comment