Sentensi za muhimu za Rais JPM akikabidhi uwenyekiti EAC kwa Museveni

"Mliniamini mkanichagua licha ya kuwa madarakani kwa muda mfupi,”amesema Rais Magufuli ambaye aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa EAC, mapema mwaka jana. Rais Magufuli amesema anaimani na Rais Museveni kuwa atafanya kazi nzuri kutokana na uzoefu wake.

“Yaliyonishinda kuyatatua, atayatatua yeye (Rais Museveni),”

0 Comments:

Post a Comment